Rais Samia Suluhu: Nimeweka ahadi kwamba Tanzania tunakuja kuwekeza Kenya kwa nguvu yote (+ Video)

Tanzania na Kenya si tu majirani, bali ni ndugu. Kenya inashika nafasi ya tano kwa uwekezaji Tanzania kwa nchi zote duniani na ya kwanza kwa nchi za Afrika Mashariki. Nimeweka ahadi kwamba Tanzania tunakuja kuwekeza Kenya kwa nguvu yote“

Related Articles

Back to top button