Burudani

Rayvanny ahamishwa chumba BASATA, Babu Tale awatia moyo mashabiki wake (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny amehamishwa chumba alichokuwa anahojiwa awali na viongozi wa BASATA, na kupelekwa chumba kingine kwa mahojiano zaidi.

Akizungumzia ishu hiyo, Kiongozi wa WCB, Babu Tale amesema kuwa mazungumzo yameenda vizuri huku akishindwa kuelezea sababu ya kuhamishwa chumba kwa msanii wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents