Burudani

Rayvanny: Nasikiliza sana muziki wa Alikiba hasa wimbo wa Dodo

Akiongea katika kipindi cha The Switch kinachoruka wasafifm  Rayvanny amesema kuwa “Lakini nishawahi kuongea kwenye interview napenda wimbo wa Alikiba #Dodo, mimi mwenyewe nasikiliza muziki wake, sina matatizo na yeye” – @rayvanny

 

Pia kama ulipitwa na Interview ya Aristote unaweza kuitazama hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents