Burudani

Rich Mavoko na ishu ya kuwa kimya na kubadili aina ya muziki wake (Video)

Msanii wa muziki kutoka WCB, Rich Mavoko amefunguka kwa kudai kwamba amebadilisha aina ya muziki wake ili kutoa burudani tofauti kwa mashabiki wake. Muimbaji huyo amesema hayo Jumatano hii akizungumza na kituo kimoja cha redio cha nchini Kenya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents