Burudani

Robin Thicke afiwa na baba yake mzazi

Baba mzazi wa staa wa muziki wa Marekani na mtayarishaji wa muziki Robin Thicke, Alan Thicke, amefariki dunia Jumanne hii akiwa na umri wa miaka 69.


Robin akiwa na baba yake Allen Thicke

Allen amefariki katika hospitali ya St. Joseph’s Medical Center, Marekani alipokuwa amepelekwa kwa ajili ya kupata matibabu baada ya kupatwa ghafla na mshtuko wa moyo.

Mzee huyo aliwahi kuwa muigizaji, muimbaji na mtangazaji wa runinga huku akiachia nyimbo kiba ikiwemo “Diff’rent Strokes’, ‘Wheel of Fortune’, ‘Growing Pains’ na nyingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents