Michezo

Ronaldo: Sitomtaja kamwe mama wa mtoto wangu

Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema kamwe hatokuja kumtaja mama wa mtoto wake wa kiume.

ronaldo31

Mchezaji huyo aliyeachana na mpenzi wake mwanamitindo, Irina Shayk anaonekana kufurahia maisha yake binafsi zaidi akiwa na familia yake.

Akiongea kwenye talk show ya Jonathan Ross, mchezaji huyo ameahidi kutoweka wazi sura ya mama wa mtoto wake pamoja na shinikizo la jamii.

2E5F1C6500000578-3316210-image-m-194_1447368950898

Pia Ronaldo, 30 amesema hatakaa arudi tena Manchester United kwakuwa United ya kipindi kile sio kama ya sasa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents