Habari

Sababu za Mama Janeth Magufuli kuguswa kutoa msaada wa chakula kwa wafungwa hizi hapa (+video)

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli amewataka Watanzania kuondoa dhana potofu ya kuamini waliopo gerezani ni wahalifu bali hata wao wanahitaji msaada na faraja wakiwa huko.

Ameyasema hayo leo wakati akikabidhi chakula kwa wafungwa wa Gereza la Ukonga ambapo ameeleza kuwa wapo wagonjwa, wazee, watoto na wasiojiweza hali iliyopelekea kuguswa kuwapelekea msaada.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents