Burudani

Safari: Kipindi kipya cha vijana kitakachoruka kupitia TV1

Hivi karibuni jiandae kuanza kuangalia kipindi kipya cha mambo ya vijana kiitwacho Safari kupitia kituo cha runinga cha TV1.

“Safari ni kipindi cha kuelimisha na burudani kuhusu Ujasiriamali kwa vijana wa Kitanzania kuwaamasisha kupitia vitendo na mifano hai ya wajasiriamali walioweza kuthubutu na sasa wamefanikiwa ili vijana hao waweze kuwa na mawazo chanya kuhusu suala la ujasiriamali ili wajikwamue kimaisha,” amesema Jan B, rapper wa muziki wa kizazi kipya anayekiongoza.

“Kinaanza kuruka kwa mara ya kwanza kupitia Tv1 Tanzania kila Alhamisi saa mbili na nusu usiku.”

Chini ni maelezo zaidi kuhusu kipindi hicho.

SAFARI TV SHOW is the Swahili TV program for and about young entrepreneurs, and a dynamic multi-media digital platform working with organizations, institutions, development partners and individuals as partners and sponsors that are willing to support young entrepreneurs with mentor-ship, finance, training, technology and other tools to help catapult viewers’ projects from dream to reality.

With our motto “The power of entrepreneurship as a catalyst for positive change’’.This program will promote employment creation and sustainable management and use of available natural resources by influencing young people perceptions and attitudes of entrepreneurship.

The main goal of Safari Show is to inspire Tanzanians from all socio-economic classes and across different sectors, to take initiative and launch their own dream. The show will motivate idea of owning one’s own product and services or business as a way to create self-employment and jobs to youths.

This program is creatively designed with educational and entertainment content to create “Edutainment”.
KARIBU TUSAFIRI PAMOJA…

Director: Janbert Kiwia (JANB)
Host/Presenter: Maria Mtandi, Johnbosco Kamili & P THE MC
Production: Ngome Video (Mecky Kaloka)
JanB Multimedia Tanzania

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents