Promotion

Samsung Galaxy 3 pamoja na saa yake zinapatikana katika maduka ya Vodacom anzania

001.CITY
Meneja Mauzo wa duka la Vodacom Mlimani City, Salim Salimin,akimuonesha simu ya toleo jipya aina ya Samsung Galax note 3 yenye thamani ya Tsh 1,400,000 Bw.George Masawe wa pili toka kushoto alipofika dukani hapo kwaajili ya manunuzi ya simu hiyo.Wengine wanaoshuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kushoto Elihuruma Ngowi na wapili toka kulia ni Edwin Byampanju

002.CITY
Meneja uendeshaji maduka ya Vodacom Tanzania Bw.Elihuruma Ngowi akimuonesha mteja, George Masawe saa aina ya Galax 3 yenye thamani ya Tsh 600,000 alipofika dukani hapo kwa thumuni la kununua saa hiyo inayopatika katika maduka ya Mtandao unaoongoza Tanzania wa Vodacom,kushoto ni Meneja Mauzo wa duka la Vodacom Mlimani City, Salim Salimin

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents