Afya

Serikali ya Tanzania yapokea dawa ya Corona kutoka Madagascar

Serikali ya Tanzania leo imepokea kutoka Serikali ya Madagascar msaada wa dawa zinazofubaza virusi vya corona.

Ikumbukwe katika Hotuba ya Rais Magufuli siku tano zilizopita alisema kuwa . “Nimewasiliana na Madagascar kuna dawa ya corona wameipata nitatuma Ndege hiyo dawa ije hapa, tutumie dawa, tuombe Mungu bila kuchoka huu ugonjwa utaondoka tu”

“Watanzania corona isitutishe, inawezekana kuna Watu wengine wamekufa kwasababu ya hofu tu, Viongozi wa Dini msitupotoshe, nampongeza Mufti amesema sisi tutaendelea kufunga, Watanzania tusimame imara tumeshashinda hii vita”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents