Mahojiano

Shabiki aliyepanda jukwaani na kupewa koti na Harmonize atoa ya moyoni “Sasahivi hawapokei simu zangu aliniahidi atanisaidia” – Video

Shabiki aliyepanda jukwaani na kupewa koti na Harmonize atoa ya moyoni "Sasahivi hawapokei simu zangu aliniahidi atanisaidia" - Video

Shabiki aliyepanda jukwaani na kupewa koti na Harmonize na kuahidiwa kusaidiwa Konde Gang afunguka na kusema kwa sasa hivi hapokelewi simu kwani Harmonize alimwambia meneja wake amsaidie.

Akiongea na Bongo5 amejitambulisha kwa kusema kuwa anaitwa Harmocent amefunguka haya:

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents