Burudani

Waziri Ummy atoa tahadhari virusi vya corona “marufuku salamu ya kupeana mikono” (Video)

Serikali kupitia kwa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu imepiga marufuku salamu ya kupeana mikono ambayo Ni maarufu Sana nchini katika kipindi hiki Cha tishio la Virusi vya Corona.

Akizungumza Jijini Dar es Salaam kuhusu tahadhari zinazochukuliwa na Serikali Waziri Ummy amesema pamoja na kupeana mikono pia watu wahawapaswi kukumbatiana au kubusiana ili kujikinga na Virusi vya Corona.

Waziri Ummy amesema tayari Serikali imetenga maabara Maalum ya kuwapima wagonjwa watakaohisiwa kuwa na Virusi vya Corona ambapo Kati ya saa 4 na 6 majibu ya vipimo yatakuwa yametoka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents