Diamond Platnumz

Shambulio la Westgate: Mwana FA, Diamond, Vanessa, Jaydee na wengine watuma salamu za rambirambi

Mwana FA, Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Lady Jaydee na wasanii wengine wameungana na Watanzania kutuma salamu zao za rambirambi kwa Kenya kufuatia shambulio la kigaidi kwenye mall ya Westgate Jumamosi iliyopita ambapo takriban watu 70 wameuawa.

kifeso

Diamond Platnumz ameenda mbali zaidi kwa kutengeneza picha maalum yenye bendera ya Kenya kwenye background na kuandikwa maneno: Our thoughts and prayers are with you during this difficult time… Stay Strong.

Salamu zingine ni pamoja na:

Mwana FA
Maneno milioni on this one…hope,huzuni,ushujaa,huruma etc….majaribu!!Kenya italivuka na hili…in sha Allah..

Lameck Ditto
Pray For Kenya

Wakazi
Terrorism in Kenya?! … Why though

Vanessa Mdee
Day 3 #WestgateAttack Mungu walinde wanaoendelea kuteseka – Amen!

AY
R.I.P Ruhila siamini mpaka sasa

Salama A. Jabir
Dua Kwa Kenya…

Cpwaa
Naanza kwa kutoa pole kwa ndugu zangu Wakenya! Stay Strong Mungu yuko nanyi….alafu namalizia kwa kukumbusha kwamba zimebaki siku 8 tu!! Alafu mizigo hiyooo..#Loading #TheWaitIsOver #Pwaarific #Brainstormusic #OperationLockDownAfrica

Lady JayDee

Tuombe uzima kwetu na kwa wenzetu pia #Kenya

Soggy Doggy
Sio tu wakati wa matatizo ila umoja na mshikamano ni muhimu kwa wana Afrika Mashariki,siasa zisitugawe

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents