Bongo Movie

Shamsa adai mume wake akioa mke wa pili anaomba talaka, kisa? (Video)

Msanii wa filamu, Shamsa Ford akiwa anasherekea miaka miwili ya ndoa yake , ameibuka kwa kudai kwamba ikitokea mume wake anataka kuoa mke wa pili basi ataomba talaka. Mwigizaji huyo amedai hawezi kuishi mbali na mume wake huyo kwa madai ana wivu uliopitiliza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents