Burudani

Sia ajilipua mtandaoni kwa kuachia picha ya uchi

Mwanamuziki kutoka Australia, Sia (41) ameamua kujilipua kwa kuachia picha yake ya utupu mtandaoni.

Uamuzi wa mrembo huyo anayeshutumiwa kujishusisha na dini ya freemason, umekuja baada ya mtu mmoja kudai kuwa ana picha za uchi za mrembo huyo na ana ziuza, hivyo Sia akaona isiwe kesi ngoja niziachie mwenyewe tena bure kwa mashabiki zangu.

“Someone is apparently trying to sell naked photos of me to my fans. Save your money, here it is for free. Everyday is Christmas!,” aliandika mrembo huyo kupitia mtandao wa kijamii wa Tweeter.

https://twitter.com/Sia/status/927726442154098688

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents