Burudani

Sijaacha, na sitoacha kufanya muziki – Cpwaa

Rapper Cpwaa amesema anashangazwa na watu wanaozusha kwamba ameacha muziki wakati sio kweli.

Cpwaa na meneja wa T.I , Joson Gete

Akizungumza na Bongo5, Cpwaa amewataka mashabiki wake kupuuza uvumi huo.

“Mimi ninachowaambia mashabiki wangu, nipo na bado ndio kama naanza,” amesema. “Kuna watu wanavumisha nimeacha muziki, sijui hizo taarifa wamezipatawa wapi? Nataka mashabiki wangu wajue bado nipo na kuna kazi nyingi zitakuja na mtapata ile ladha ya muziki wa Cpwaa wanaemjua,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents