Michezo

Simba na Azam hakuna mbabe 1-1

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Simba SC wameambulia sare ya goli 1-1 dhidi ya Wanalambalamba Azam FC.

Mchezo huo uliyopigwa leo Mei 18, 2022 katika viwanja vya Azam Complex Chamazi wafungaji wakiwa Kola kwa upande wa Azam na Bocco kusawazisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents