HabariMichezo

Simba SC kumsajili straika wa mabao Jean Beleke ? (+Video)

Wakati Bilionea Mo Dewji akimuahidi Kocha Robertinho kumshushia vifaa vipya ili kuboresha kikosi cha Mbrazil huyo, @simbasctanzania imehusishwa na tetesi za wachezaji kadhaa mpaka sasa.

Miamba hiyo ya soka Afrika Mashariki na Kati wanahusishwa kutaka kumsajili Mshambuliaji wa Kati Jean Beleke raia wa DR Congo.

Jean Beleke amewahi kuifunga Simba SC kwenye siku ya #SimbaDay mwaka 2021 Benjamin Mkapa dhidi ya TP Mazembe goli lake la dakika ya 84 na mchezo huo kumalizika kwa Mnyama kuchezea kichapo ikiwa ni bao pekee kwa Mazembe.

Mshambuliaji huyu ana urefu wa futi 5, na mwili uliyoshiba.

Kuangalia Uchambuzi wa Usajili wa timu za Ligi Kuu Ingia YouTube Bongo5

Imeandikwa na @fumo255 shot @sameeer2_

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents