Michezo
Simba SC Vs Al Ahly: Pitso Mosimane ataja mikakati yake ya kuondoka na pointi tatu (+Video)
Kocha klabu ya Al Ahly, Pitso ‘Jingles’ Mosimane azungumzia mchezo wake dhidi ya Mnyama Simba SC huku akiahidi kuondoka na pointi tatu Tanzania.
Video Al Ahly waukagua uwanja wa Mkapa