Michezo

Simba SC yafikia makubaliano haya na goal keeper wa Ghana

Klabu ya Simba SC, kupitia mtandao wake wa instagram imetoa taarifa kuwa imeshamalizana na goli kipa Daniel Agyei kutoka timu ya Medeama ya Ghana na sasa mchezaji huyo ni mali ya Msimbazi.

simba-sc
Golikipa Daniel Agyei akisaini mkataba tayari kuitumikia klabu ya Simba

Agyei kutoka nchini Ghana amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents