Habari

Picha: Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa mwanasiasa mkongwe nchini India

Maelfu ya watu wamejitokeza kuuaga mwili wa mwanasiasa mkongwe mwanamke nchini India, Jayalalithaa Jayaram aliyefariki Jumatatu hii.

1

Jayalalithaa alikuwa ni kiongozi mkuu wa serikali katika jimbo la Tamil Nadu ambaye alifariki katika hospitali ya Apollo iliyopo mjini Chennai kwa maradhi ya mswhtuko wa moyo. Kiongozi huyo anatarajiwa kuzikwa Jumanne hii huku waziri mkuu wa nchi hiyo, Narendra Modi akitarajiwa kuongoza mazishi hayo.

Jimbo la Tamil Nadu limetangaza siku saba za maombolezi huku serikali ya mji wa Delhi ikitangaza siku hii kuwa ya mapumziko ya kitaifa kwaajili ya heshima kwa kiongozi huyo.

2

3

4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents