Habari

Song: Mataluma – Bado Nipo (Sijambwela)

mataluma

Baada kimya kingi katika muziki sasa MATALUMA aka MZEE WA VIDUKU amerejea tena na ngoma yake mpya. Katika ngoma hii anazungumza kuwa bado hajafa katika muziki kwani muziki ndio sehemu ya maisha yake. Wimbo huu umetayarishwa katika studio za SURROUND SOUND chini ya mtayarishaji na mwandishi NASH DESIGNER aka MR PRODUCER

Download Here

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents