Burudani

Spicy wa Lady Jaydee ataja hits za Nigeria alizotayarisha

Mbali ya mpenzi mpya wa Lady Jaydee, Spicy kuwa muimbaji lakini pia ni mtayarishaji mkubwa wa muziki nchini Nigeria na tayari ameshafanya kazi na mastaa wakubwa wa nchini humo.

Muimbaji huyo wa Nigeria ameiambia Bongo5 kuwa ameshatayarisha nyimbo kibao za Mr. Flavour na kushiriki kuandika kwenye nyimbo zake ikiwemo ‘Ashawo’ ambao video yake ilitoka mwaka 2011.

“Ololufe by Mr Flavour and Chidinma I did the production, most of Flavour songs. ‘Ashawo’ I produced with him because he produces as well, so we co-produced together,” amesema Spicy.

“I write for myself, we write together with Flavour, most of songs we write and other member of Tonight Entertaiment guys. But most of a time I write for myself,” aliongeza.

Hata wimbo wa ‘Together’ Spicy ameuandika na kuutayarisha mwenyewe japo kwenye verse ya Jaydee alilazimika kuzitafsiri na kuimba kwa lugha ya Kiswahili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents