MichezoUncategorized

Sportpesa wakutana na Rais Museveni kwa mazungumzo ya kuwekeza nchini Uganda

Viongozi wa Kampuni ya Kubashiri ya SporPesa yenye makao yake makuu nchini Kenya wamekutana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa mazungumzo ya kuwekeza kwenye soka nchini humo.

CEO wa Sportpesa Pavel Slavkov akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni

Viongozi wa Kampuni hiyo wakiongozwa na CEO, Pavel Slavkov wa Kampuni hiyo wamekutana Ikulu jijini Kampala kwa mazungumzo hayo na kumkabidhi Rais Musevani jezi na mpira.

Kampuni ya SportPesa mpaka sasa imewekeza kwenye nchi nne ambazo ni Tanzania, Kenya, Uingereza na Italia.

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents