BurudaniHabariMahojiano

Steve Nyerere – Mbunge wa Kisesa hana chake (Video)

Steve Nyerere aunguruma kuhusu kauli za Mbunge Mpina

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao @stevenyerere2 amemvaa Mbunge wa Kisesa Mpina baada ya hivi kutoa taarifa ambayo amedai ina lengo la kukigawa chama cha Mapinduzi.

Steve amewataka wana CCM kuacha kumjibu kwani anatafuta sababu kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya jimbo lake.

 

 

Bonyeza link hapa chini kuangalia video kamili:

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents