Burudani

Super Soul Sunday: Walichoandika watu wenye nguvu ya ushawishi duniani kuhusu ubora

Kazi yangu kila Jumapili ni kukuletea nukuu kutoka kwa watu ambao wamefanya mambo makubwa au ya kipekee katika ulimwengu huu. Nukuu za leo zimelenga kukufanya kuwa bora (excellence) kuelekea mafanikio yako.

 

  1. Mafanikio ni kiwango cha juu kabisa cha uwezo ulionao – Zig Ziglar.
  2. Wakati wote ni rahisi kuyapima mafanikio, ila ni mbali kutoka mwanzo hadi kuyafikia – Michael Korda.
  3. Kuwa tulivyo, na kuwa vile ambayo tulitakiwa kuwa ndio mwisho pekee wa maisha – Robert Louis Stevenson.
  4. Ninafanya vizuri kwa namna ninavyojua na ninaweza kuwa bora, ninamaanisha nitaendelea kufanya hivyo hadi mwisho – Abraham Lincoln.
  5. Kuna njia ya kufanya vizuri zaidi… itafute – Thomas A. Edison.
  6. Wakati wote fanya kilicho bora na kile ulichopanga kwa sasa, baadae utakuja kuvuna – Og Mandino.
  7. Aliyefanya vilivyo bora katika muda wake ataishi katika nyakati zote –Johann von Schiller.

Shukrani, dondosha comment yako hapo chini kuelezea ni nukuu ipi imekubamba zaidi.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents