Bongo Movie

TAFF ladai halikubaliani na kushushwa kwa bei ya filamu

Shirikisho la filamu Tanzania, TAFF, limesema halikubaliana na uamuzi uliochukuliwa na kampuni ya Steps Entertainment kuhusu kushusha bei ya filamu kutoka shilingi 3,000 hadi 1,500.

Raisi wa shirikisho la filamu Mwakifamba
Rais wa shirikisho la filamu, Simon Mwakifwamba

Mwakifwamba ameiambia Bongo5 kuwa wasanii wanafanya kazi kubwa na hivyo bei ya filamu haiwezi kushushwa kama inavyoshushwa kwenye bidhaa nyingine. “Sisi hatukubaliani na hilo suala, kuna vikao vilikuwa vikiendelea kuhusu hili suala na Jumanne wiki ijayo tutatoa kauli,” amesema.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents