Burudani

Meninah azungumzia kuanza mwaka 2015 na video ya ‘Pipi ya Kijiti’

Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’, Meninah ataufungua mwaka 2015 kwa kuachia video ya wimbo wake ‘Pipi ya Kijiti’.

10734987_722621804498567_952580996_n

Meninah ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kufanya video hiyo kama zawadi kwa mashabiki wake.

“Unajua huu wimbo ulitoka sasa nikaona niufanyie video iwe zawadi kwa mashabiki wangu. Video nimefanya na Abas Adam. Hiyo ndio itakuwa zawadi kwa 2015. Kuna kazi nyingine zipo njiani nazo mashabiki wangu wataziona na kuzisikia.”

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents