Habari

Tamasha la kwanza la ‘The Nyama Choma Festival’ 2015 kufanyika Leaders Club Jumamosi Feb 7

Tamasha la Nyama Choma, TNCF limerudisha nyuma ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwaresma kwa jumuiya ya wakristo.

NCF DAR FEB2015 (with Henney)2

Kwa mwaka huu tamasha hili lifanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi February 7 kwenye viwanja Leaders jijini Dar es Salaam.

Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio mara nne kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

Angalia video hiyo chini uone jinsi tamasha la nyama choma linavyofana kila lifanyikapo na kwanini hupaswi kukosa.

Related Articles

2 Comments

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents