Burudani
Tembelea Blogspot ya Fid Q ( CheusiDawa )
Msanii Wa Hip Hop Fareed Kubanda anayejulikana kwa jina la Fid Q amefungua blogspot yake inayokwenda kwa jina la http://cheusidawa.blogspot.com ambayo itakuweka karibu na kila kitu chenye manufaa kwa Jamii na Wapenzi wa Muziki wake kwa ujumla.
binafsi nimefanikiwa kuitembelea na sitosita kusema ya kwamba nimevutiwa na yale niliyoyakuta, kwakuwa najulikana sina tabia ya uchoyo nimeonelea ni vyema nikawakaribisha na nyinyi ili wote tupate Ladha kwasababu Waswahili wanasema
‘UKIMUONA KOBE YUKO JUU YA MTI, BASI UJUE KAPANDISHWA’……….. tembelea ujionee