Burudani

TID awapa makavu wanaotumia jina la Mnyama “wanapenda Swagg”

TID awapa makavu wanaotumia jina la Mnyama "wanapenda Swagg"

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed TID amefunguka mengi kuhusiana na muziki wake lakini pia kuhusu sanaa nzima ya muziki wa Bongo Flava.

Msanii huyo amefunguka hayo katika moja ya Interview aliyofanya na Bongo Five na kueleza nia yake na malengo yake kuhusu sanaa hii ya muziki.

TID hakuacha kuzungumzia wale wanaotumia jina la mnyama kwani yeye ndio mwanzilishi.
Fuatilia mahojiano haya:-

By Ally Juma

Related Articles

6 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents