Burudani
TID kwa Diamond: Leta tuzo nyumbani, achana na maf*la!
TID ni team Diamond.
Akipost kwenye Instagram picha ya Diamond ya kuhimiza apigiwa kura za AFRIMA, TID ameandika:
“Leta mzigo home achana na mafala, u got my Back.”
Swali la kujiuliza mafa*la ni akina nani?