Burudani

Tip Top kula Idd Dodoma

Madee_shoo_3

Kundi la muziki la Tip Top Connection, linatarajia kuwasha moto katika mkoa wa Dodoma katika siku ya sikuku ya Idd, baada ya kutoka kufanya show katika mkoa wa Mbeya. Kiongozi wa kundi hilo Madee amesema akirudi huko  anakuja kumtambulisha Dogo mpya katika kundi


hilo, ambaye video yake imekamilika hivi karibuni.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents