Burudani

Updates: Baada ya kuwa topic kwa kuikanyaga bendera ya Marekani, Lil Wayne ajitetea kwa kusema hakukusudia kuikanyaga!!

Muda fupi uliopita Lil Wayne ame tweet akijitetea kuhusiana na kile ambacho watu wamekiona katika video clip (akiikanyaga bendera ya Marekani), lakini maelezo yake yanaonekana kuwa na utata kama yalivyo mashahiri ya wimbo wake mpya alio shoot video wikend iliyopita “God Bless Amerika”.

wayne akikanyaga bendera

Kwa mujibu wa Lil Wayne ambaye ametolea ufafanuzi tukio lililozua mjadala miongoni mwa mashabiki wake baada ya kuonekana akiikanyaga bendera ya Marekani, amejitetea kwa kusema hakuikanyaga makusudi ilikua ni ajali sababu hakuiona chini.

Wayne ameongeza kuwa hiyo ilikuwa ni scene katika video ambayo ilitakiwa bendera idondoke nyuma yake huku yeye anaendelea kurap, ila swala la kuikanyaga haikupangwa ilikua bahati mbaya. Really Weezy??

Ametweet:

Kama umeitazama vizuri video hiyo, baada ya bendera kudondoshwa kuna wakati mpaka aligeuka na akawa anatazama chini kwa kuifuata, unahisi anasema ukweli hakuiona?

Nakupa nafasi ya kuitazama tena video hiyo hapo chini kisha tuambie je unayaamini maneno ya Weezy?

http://youtu.be/B8P6ZuUwX5k

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents