Picha

Picha: Iphone ya dhahabu na almasi tupu inayouzwa hadi shilingi bilioni 1.6!!

Kampuni ya Goldgenie ya Uingereza inayohusika na utengenezaji wa bidhaa kama simu kwa kuziongezea madini ya thamani, imepata deal exclusive la haki za usambazaji duniani wa simu za Superstar iPhone 5. Simu hizo zimetengenezwa kwa dhahabu na kuzungushiwa almasi 364. Bei zake inanaanzia £48,000 hadi £68,000 ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.6.

goldgenie-gold-iphone-1

goldgenie-gold-iphone-2

goldgenie-gold-iphone-3-600x376

goldgenie-gold-iphone-4-600x302

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents