Burudani

Vanessa Mdee asema muda mwingi kwa sasa anautumia katika shughuli za muziki

Vanessa Mdee aka Vee Money amekiri kuwa kwa sasa muda wake mwingi ameutenga kwenye shughuli zinazohusiana na muziki zaidi.

1526493_721531134526283_111801404_n

“Ni kweli, muda mwingi wa siku naconcentrate kwenye mambo ya muziki, I wanna concentrate on music katika kuundeleza na kufanya vizuri zaidi,” Vanessa ameiambia Bongo5.

“Isingekuwa hivyo nisingefanya,” alijibu Vanessa kuhusu kama muziki unamlipa kiasi ambacho ameamua kuupa muda zaidi kuliko kazi zake za kawaida. Vanessa pia ni mtangazaji wa TV na redio.

Kuhusu mipango ya video, Vanessa ambaye mwaka huu ametajwa kuwania vipengele vitatu vya tuzo za KTMA, alisema alilazimika kusubiri kwanza kwakuwa kuna mipango mingine iliibuka na yenye umuhimu kwake. “The video is still on the work and will be out sometimes soon sababu we had to stop first because some other plans came in,” amesema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents