Burudani

Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black

Juhudi za msanii wa kike wa Tanzania, Vanessa Mdee katika kujitangaza kimataifa zinazidi kuonekana, baada ya kuchukua tuzo ya AFRIMMA nchini Nigeria mwaka jana, sasa amepata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo mmoja na staa wa Nigeria, Davido.

VANESSA

Vannessa na Davido wameshirikishwa kwenye Remix ya wimbo wa msanii wa Ghana aitwaye D-Black. Wasanii wa nchi nyingine za Afrika walioshirikishwa kwenye wimbo huo ni Donald In Denial (Afrika Kusini), Stanley Enow (CAM), Elrepgh (GH), Sayishay (NG).

Kupitia Instagram Vee Money alishre tweet ya D-Black na kuandika:

“Just out here workin and puttin on for my city every chance I can. Collabo mpya kutoka mkali wa Ghana na waliyo orodheshwa hapo.”

d-black tweet

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents