Burudani

Nitaendelea kutoa nyimbo zenye ladha ya ‘Niroge’ na ‘Hawajui’ – Vanessa

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Vanessa Mdee, amefunguka kuwa nyimbo zake Niroge na Hawajui zote ameziweka katika mfumo mmoja.

VanessaNiroge-1024x1024

Akiongea na kipindi cha Twenzetu cha Times FM, Vanessa alisema anataka kuubadilisha muziki wake na kuuweka katika mahadhi na ladha ya Kiswahili zaidi.

“Yeah Niroge na Hawajui ni idea moja, mfumo ni ule ule tu, yaani nataka nipite kwenye mfumo huo huo, so nilikubaliana na wenzangu tupite humu.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents