Bongo Movie
Video: Angalia dk 20 za filamu mpya ‘Queen Elizabeth’ iliyoandaliwa na Mussa Banzi
Muongozaji mkongwe wa filamu nchini, Mussa Banzi ameachia kipande cha dakika 20 cha filamu yake mpya ‘Queen Elizabeth’ ambayo inatarajia kuingia sokoni hivi karibuni.
https://youtu.be/lTvwF67iDeU