Burudani

Video : Ben Pol aanza rasmi kucheza kwenye show zake, adai alikuwa anaumia kuambiwa hajui kucheza

Msanii wa muziki wa R&B, Ben Pol amesema kuimba na kucheza kwenye show zake ni mafanikio katika muziki wake kwani kwa miaka mingi alikuwa anafanya show zake kwa kuimba pekee.
IMG_3195

Muimbaji huyo ambaye hivi karibuni alifanya show yake ya kwanza akiimba pamoja na kucheza katika tamasha la East Africa Radio la kumiza miaka 17.

Kupitia instagram baada ya tamasha hilo, Ben Pol alipost video na kuandika:

Nimenyanyasika sana, nimefedheheka sana, nimedhalilika sana, nimesimangwa sana, nimeaibika sana.. kwa sababu ya KUTOJUA KUCHEZA, sasa NACHEZA mtaisoma namba , Wacko jacko huyu hapa!!Teh teh teh”

Angalia video hapa:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents