Hii ni kazi ya msanii kutoka Musoma anaitwa Brinolz akiwa amemshirikisha Nancy kutoka Mwanza nyimbo inaitwa Kicheche ikiwa imefanyika katika studio za Harshbase Records chini ya producer Hamisi Kamanda na kuongozwa na Director Kenny Ukiyz.
https://youtu.be/ysYFFyeA_Es