Burudani

Video: Diamond alikutwa na hili, ni baada ya Harmonize kupata ajali ya pikipiki wakishoot video ya wimbo Bado

WCB Wasafi wameachia behind the Scene ya video ya wimbo Bado wa Harmonize aliyomshirikisha Diamond. Katika video hiyo moja ya tukio kubwa ni lile ambao linaonyesha jinsi uongozi wa Harmonize ulivyokaliwa kooni baada ya Harmonize kuanguka na pikipiki na kuiharibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents