Burudani

VIDEO: Diamond atangaza mikoa ambayo Wasafi Festival itafanyika, Alikiba na Dudu Baya waalikwa (+video)

Kampuni ya Wasafi imetangaza kuanza rasmi kwa tamasha la Wasafi Festival ambalo linatarajiwa kuanza kutimua vumbi Novemba 24, mwaka huu mpaka Desemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 5, mkurugenzi wa kampuni hiyo, Diamond Platnumz, amesema kwa kuanzia tamasha hilo lenye kauli mbiu ya ‘Mchezo usiuchezee wewe Kabisa’ litafanyika mkoani Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Diamond alitaja mikoa mingine itakayofuata kuwa ni Iringa ambapo litafanyika Novemba 30 na kufuatiwa na Morogoro na mikoa mingine itatangazwa hapo baadaye huku Nairobi likitarajiwa kufanyika Desemba 31 mwaka huu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents