HabariMichezo

VIDEO: Hassan Mwakinyo amuomba msamaha Promota Karigo

Bondia Hassan Mwakinyo @hassanmwakinyojr amemuomba msamaha Promota, Karigo Godson Karigo ambaye walitifautiana baada ya kuvunjika kwa pambano lake ba Julius Ondogo.

“Tulishindwana katika maslahi ya kazi ni sehemu ya maisha, sina ugomvi na Mzee Karigo na Kama kuna kauli yoyote ya mtoto kumkosea adabu mtu mzima na ikamkwaza yeye pamoja na watu wote waliyoshirikiana kufanikisha lile jambo na ikashindikana mnisamehe mimi ni kijana.”

@hassanmwakinyojr ameyasema hayo wakati wakitangaza pambano lake dhidi ya Enock Msambudzi wa kutoka Zimbabwe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents