Burudani
Video: Interview alizofanyiwa muigizaji wa Going Bongo, Ernest Napoleon
Siku kadhaa zilizopita Going Bongo imekuwa filamu ya kwanza ya Afrika Mashariki kuzinduliwa kwenye jumba sinema maarufu la nchini Uingereza, Cineworld Haymarket. Muigizaji wa filamu hiyo Ernest Napoleon alifanyia mahojiano kadhaa na vyombo mbalimbali. Chini ni baadhi yao.
https://www.youtube.com/watch?v=XnAJBTCvu2I