Video: Kauli ya mfungaji bora Vpl 2020/21 John Bocco

Nahodha wa #simbasc na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bora, John Bocco akizungumzia siri ya mafanikio yake kama mchezaji mzawa na kumpiku Meddie Kagere ambaye baye amechukua kiatu cha dhahabu mara mbili mfululizo.

1. John Bocco amefunga magoli 16
2. Chris Mugalu amefunga magoli 15
3. Prince Dube wa Azam magoli 14
4. Meddie Kagere amefunga magoli 13

Related Articles

Back to top button