Mtanzania kutokea Bukoba, Koku ambaye alizaliwa Marekani miaka 30 iliyopita ameachia video yake mpya ya single inaitwa “conveniently rolling”.
Koku baada kuonyesha anakipaji cha muziki pia ndicho kilichompelekea kupata dili la kuonekana kwenye sehemu ya series maarufu ya EMPIRE ya Marekan.