Burudani

Picha: Ex wa Luteni Karama, Isabela aangukia kwa mzungu huyu

Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa msanii wa Kundi la Gangwe Mob Luteni Karama, Isabela, ameamua kumuweka wazi mpenzi wake mzungu ikiwa ni miezi michache toka mpenzi wake huyo wa zamani afunge ndoa na rafiki yake wa karibu.
WhatsApp-Image-20160726
Isabela akiwa na mpenzi wake

Akiongea na Bongo5 Jumatano hii, Isabela adai kwa sasa amempata mtu sahihi ambaye amemsahaulisha yaliyotokea nyuma.

“Huyo ndio mpenzi wangu kwa sasa, kwa hiyo nipo sehemu salama kabisa,” alisema Isabela.

Hapo awali, muimbaji huyo alidai kuumizwa na kitendo cha aliyekuwa mpenzi wake huyo kufunga ndoa na rafiki yake wa karibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents