Burudani
Video: Kumshindanisha Aslay na Beka Flavour ni mbaya – Enock Bella
Msanii wa muziki Enock Bella ambaye pia alikuwa member wa kundi la Yamoto Band, amedai kuwashindisha Aslay na Beka Flavour ni kutengeneza chuki miongoni mwa wasanii hao wawili ambao wanafanya vizuri kwa sasa katika tasnia ya muziki.