Burudani
Video: Mc Pilipili akimzungumzia Erick Omondi, maisha ya utangazaji
Mchekeshaji kutoka Bongo, Mc Pilipili ametaja orodha ya wachekeshaji anaowafuatilia zaidi kutoka Afrika, miongoni mwao ni Erick Omondi kutoka nchini Kenya. Tazama hapa kujua zaidi.